Siwezi kwenda msibani na ndevu


Allah kamuumbua.
 

Haaaaaaa.............
 
ngoja nimeze panadol,yani mbavu zinauma kweli tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe.
 
hahahahah
 
Kuna mwehu alirud safar ambapo alikua nje ya jij zaid ya mwez alirud akiwa na mizigo kibao akamkuta mkewe ameshajiandaa anaenda shughulini
Alimuambja mke wangu nimerud ndio mamb gani hayo hata hatuulizan unataka kuondoka
Mke alijib oooh ntarud natoka
Aliolpotoka asubh saa nne alirud moja jion
Na yeye mwanaune akaingia bafuni akakoga
Akaingia ndani akaulamba mke akauliza unaenda wapi akamuambia usijal narud sasa iv akasepa akarud asubh
Kilichofuata
Tukutane next episode
Ss wanaume akili zetu tunazijua wenyewe
 
Tit 4 Tat[emoji7] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…