wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,031
- 1,013
Mada nzuri sana. Hapo kwenye mentorship, real life mentorship, kumpata mtu ambae anaku-guide au anakupitisha njia za kufabikiwa katika kitu fulani ni tatizo kubwa. Ukweli mentorship ina impact kubwa sana sema tu haijatiliwa mkazo. Ukifuatilia wanaofanya vizuri duniani wengi pamoja na ujuzi na vipaji vyao pia walikuwa na mtu alio wa guide. Millenials wengi tunajihisi wajuaji lakini mentorship ya mzoefu wa nyanja ni muhimu.
Sijui tufanyeje kupata mentorship nzuri?
Sijui tufanyeje kupata mentorship nzuri?