Mada nzuri sana. Hapo kwenye mentorship, real life mentorship, kumpata mtu ambae anaku-guide au anakupitisha njia za kufabikiwa katika kitu fulani ni tatizo kubwa. Ukweli mentorship ina impact kubwa sana sema tu haijatiliwa mkazo. Ukifuatilia wanaofanya vizuri duniani wengi pamoja na ujuzi na vipaji vyao pia walikuwa na mtu alio wa guide. Millenials wengi tunajihisi wajuaji lakini mentorship ya mzoefu wa nyanja ni muhimu.
Sijui tufanyeje kupata mentorship nzuri?
Uko sahihi kabisa mkuuMada nzuri ila hapa huwezi kuona mtu aisee...wanapita kimya!
Ebu Post kuhusu mpenzi wangu hanifikishi, Natafuta mpenzi wa kunipa maisha, Dawa inayoongeza nguvu za kiume, Jinsi ya kumridhisha mwanamke n.k hapo watajaa kama siafu!
Nahisi Trump alitulenga wa TZ katika ule msemo wake wa Africans!