Sixty Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa

Sixty Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa

Walichokitegemea hawakioni, badala yake wanaona ambacho hawakutarajia.
 
Mitambo ya ushindi ya CCM
1. NEC
2. Msajili wa vyama vya siasa.
3. Tcra
4. Jeshi
5. .............
Wengine mtaendelea kuwaongezea.
5. Wapiga kura wazalendo wa nchi hii,maskini na wanyonge na watapiga kura nyingi kupita maelezo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Back
Top Bottom