msweety JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 667 Reaction score 1,556 Sep 28, 2020 #21 Walichokitegemea hawakioni, badala yake wanaona ambacho hawakutarajia.
Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,489 Reaction score 7,446 Sep 28, 2020 #22 Akilindogosana said: Mitambo ya ushindi ya CCM 1. NEC 2. Msajili wa vyama vya siasa. 3. Tcra 4. Jeshi 5. ............. Wengine mtaendelea kuwaongezea. Click to expand... 5. Wapiga kura wazalendo wa nchi hii,maskini na wanyonge na watapiga kura nyingi kupita maelezo. JPM ANATOSHA CCM USHINDI NI JADI
Akilindogosana said: Mitambo ya ushindi ya CCM 1. NEC 2. Msajili wa vyama vya siasa. 3. Tcra 4. Jeshi 5. ............. Wengine mtaendelea kuwaongezea. Click to expand... 5. Wapiga kura wazalendo wa nchi hii,maskini na wanyonge na watapiga kura nyingi kupita maelezo. JPM ANATOSHA CCM USHINDI NI JADI