Wenyewe ndio huwa wahisi tunapenda hivyo kumbe wala! Tunazingatia content za video kama graphics, Lighting and other illusions effects with motions za directors lkn sio wote wanazingatia haya ndio maana directors wanatengeneza attention ya videos kupitia hao, Tatizo ni mavazi na hizo pozi daaah!
 
Nakubali DeepPond lkn najua watapita kimyakimya kama hawa uoni!

Hawa video queens na wasanii wa kike ni full laana!!
Tusiwalaumu Sana,
Nao Ni binadamu wanamahitaji Yao ya kiuchumi, so wanafanya kile soko linataka

Ingekua maadili Ndo kipaumbele
Basi biashara ya ukahaba ingeshakufa zamani na tusingeona kina dada zetu wamejipanga barabarani wanajiuza Kama nyanya sokoni.

Inadhalilisha na kuumiza sana
Ila umaskini Ndo changamoto Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiwalaumu Sana,
Ingekua maadili Ndo kipaumbele
Basi biashara ya ukahaba ingeshakufa zamani! 🤭🤭
Inadhalilisha na kuumiza sana☹️☹️
Ila umaskini Ndo changamoto Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeh! Ni kweli nafahamu kutokana na kuwa na changamoto nyingi katika utafutaji wengi wao wamejikuta kuangukia huko....Ila kwa wasanii wakike na hao wanasesere wa kwenye video mbalimbali za miziki ya kizazi kipya basi wajaribu kutafuta namna ya tofauti kufikisha ujumbe kwa hadhira lkn sio kuwa nusu utupu au wengine kuwa tupu kabisa ila ni blur effects na baadhi ya footages zinawaficha kidogo lkn mtu unajua hapa huyu yupo naked kabisa😎
 
Showbiz wenyewe wasema.
Hapo ndio chanzo cha hayo yote.
 
Waige mfano kwa Enisa. Enisa ni mwanamuziki wa nje huko lakini anavaa vizuri sana unless aje kubadilika hapo baadae. Kwanza pisi kali, anajitahidi kuimba vizuri plus anavaa vizuri. Anayetaka kuona nyimbo zake akamchek youtube.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…