LordRapaar
Member
- Jan 3, 2025
- 17
- 16
Serikali inazo Hospitali zake katika ngazi mbalimbali. Inaendelea kuongeza idadi na ufanisi wa hospitali hizo kwa kadri ya upatikanaji wa fedha.
Kitendo cha Kamati ya Bunge ya Huduma za Afya kuagiza Serikali kuingia ubia na Selian kwa haraka kinaleta mashaka mengi.
Je maamuzi haya yalitolewa kwa ushaushi wa Kanisa la Kiluteri, ushaushi wa baadhi ya wabunge waliopo katika Kamati wenye maslahi na Kanisa, na kadhalika. Je shinikizo hili la Kamati ya Bunge kinakwenda sawa na mipango ya Serikali?
Serikali iendelee kujenga Hospitali zake za Rufaa katika kila Mkoa kwa mujibu wa mipango yake. Hayo yanayotakiwa kufanywa yafanyike kwenye Hospitali ya Mount Meru.
Tuachane na shinikizo la watu wenye maslahi na Kanisa la KKKT.