Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Leo nimeamua kuja na songs za wasanii mbalimbali duniani walokopi toka kwa wasanii wengine maarufu.
Sababu kubwa ilonifanya ku-thread hapa kuona kijana mwenzetu "Diamond Platnumz" kuzungumziwa kuwa ana-copy na ku-paste toka kwa wasanii maarufu duniani ili naye mziki WETU wakibongo ufike huko U.S na Hata Bara Uropa.
Na poleni kwa kwa wale wenzetu kuwa Diamond naye yupo Universe Musical angalia hapa.
Diamond na Universal Music.
Bila kuchelewa copy na paste za wasanii majuu uko U.S na U.K n.k
Skylar grey-Love the way you lie
Westlife-Love the way you lie
Eminem ft Rihanna-Love the way you lie.
Shontelle-Impossible
Darasa-Impossible
Backstreet-Don't wanna loose you now
Gloria Estefan-Don't wanna loose you now
Ben Pol-Jikubali
The script-Hall of Fame-ft will.i.am
Phill Colins-One more night
Busy Signal-One more night
Jay z-Forever young
One direction-Forever Young
Mwanamama Celion Dione yeye alianza imba muziki kwa lugha ya kifaransa na sasa ilipoingia nchini U.S anaimba lugha ya Malkia Elizabeth wa Uingeleza.Kwaio usishangae Diamond Platanzania atakapotoboa U.S akaimba lugha ya Malkia Elizabeth.
Mnakaribishwa na ninyi.