Siyo jambo geni

Siyo jambo geni

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
442
Reaction score
227
1-kukaa vijiwen bila kazi yoyote,siyo jambo geni
2-mwanamke kumsingizia njemba ujauzito usio wake siyo jambo geni
3-chama pinzani kuyakata matokeo ya uchaguzi,siyo jambo geni
4-kumdanganya binti wa shule/chuo kua utamuoa,siyo jambo geni

......Endelea na wewe mwisho ukimaliza kwa kusema,SIYO JAMBO GENI"
 
Steven nyerere kulilia michango ya misiba siyo jambo geni!!
 
Back
Top Bottom