hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaaKibongo bongo kusoma sana alafu ukaishia kuuza genge la nyanya mtaani of course siyo jambo geni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaKibongo bongo kusoma sana alafu ukaishia kuuza genge la nyanya mtaani of course siyo jambo geni
hahaaa " Jf kila mtu ana pesa sio jambo genikila member wa jf kujifanya
-amesoma sana
-ana gari nzuri
-ana nyumba nzuri
-kama ni mwanamke basi yy ni mrembo
-kama ni mwanaume basi anajua kugegeda na ana muhogo wa jang'ombe
siyo jambo geni
hahaaa kulike comments za shunie kwangu sio jambo geniMember wa jf kujibebisha na multiple i'd ili watu wajue anajibebisha na mbebez wake jf sio jambo geni kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaaaa" halafu baada ya kupigwa risasi na wahusika wanajifnya kutoa pole " sio jambo geniKupigwa risasi na kuambiwa kapigwa na watu wasiojulikana sio jambo geni
Na mimi kuquote posts zako sio jambo geni.Wanaume wa jf kuwasema. Wanawake wa jf wanasura mbaya sio jambo geni
Sawa mkuu hiyo zawadi yawe mahelaSiku ukigeuka nambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudanga sio jambo geni
Watuwacheee na sura zetu za babaWanaume wa jf kuwasema. Wanawake wa jf wanasura mbaya sio jambo geni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sanaa mkuuMmmh aisee hehehe duniani kuna mengi sana!
Ebu weka pichaSio jambo geni kummwagisha maji ke sio jambo geni
[emoji23][emoji23]Mwanamke kutokua na wowowoooo .....sio jambo geni .
Wowowoooooooo
Hahaaaa. Kabisaaaaa.Hehehe multiple ID, siyo jambo geni!
Dada ndo unajiandaa kwenda kazini..?Hahaaaa. Kabisaaaaa.
Ndio Kaka ake.Dada ndo unajiandaa kwenda kazini..?
Habari ya asubuhi?
Huku kwema, basi uwe na asubuhi njema na kazi njema pia!Ndio Kaka ake.
Za asubuhi njema tu Kaka sijui kwako?