Siyo kazi ya chama cha siasa kuitisha maandamano

Siyo kazi ya chama cha siasa kuitisha maandamano

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
 
Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
ccm-zanzibar.jpg

Hiki ni chama cha cuf.
 
Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
uko sahihi,

na kwakweli chama cha aina hiyo hua kimekosa agenda na kimepoteza uelekeo wa kisiasa kabisa 🐒
 
Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
Sasa kama wananchi wameshawishiwa na hicho chama kushiriki maandamano na wakashiriki, iweje tena useme kimeshindwa kushawishi wananchi?
 
Hoja dhaifu sana,ukishawishi na wakashawishiwa ni Hoja nzito na yenye mashiko!
 
Tatizo mmekariri kuwa chama ni cha siasa tu. Hamjui kuna chama cha madaktari, walimu, wanafunzi, madereva, mawakili nk. Na ili maandamano yaitwe maandamano lazma kuwe kuna upinzani wa jambo lolote linalopingwa hadi na mwananchi wa kawaida kama wewe mkurupukaji. Sasa wewe amka bila uongozi wowote uende bila agenda kama hujapigwa tena na mgambo tu. And if u are 45yrs and below na unasema hivyo ama really sorry for you.
 
Sasa wanaandamaje bila kushawishiwa? Wanapigwa ndumba? Maana tumebobea kwa hilo, ikulu za bongo zina vyumba kabisa vya wachawi waliobobea nchini, wanakuja kwa zamu kupiga tunguli
 
Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
Kasome sheria ya vyama vya siasa sura 258 utaona kuwa pamoja na majukumu mengine kinaruhusiwa kuitisha maandamano.
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Back
Top Bottom