Ilifika mahali hata kuongea siasa unaangalia kushoto na kulia ndiyo uongee,tena na unayemuamini.
Ilifika mahali ukiongea halafu ukataja neno Tundu Lissu badi kama pana mfanyakazi wa serikalini unaona amaondoka kimyakimya.
Simu zinarahisisha biashara lakini ilifika mahali mtu hapendi muongee kwenye simu, mtadukuliwa.
Ilifika mahala misa zikageuzwa sehemu ya hotuba kama vile majukwaani.
Ilifika mahali unaogopa kubambikiziwa kesi ya utakatishaji wa fedha na ingawa utashinda lakini unaweza kuozea jela.
Haya yanatosha mengine utajazilizia.
Sasa amekuja Rais Samia. Sijawahi kupenda chama chochote iwe CCM au CHADEMA.
Ninachofurahi ni kwamba mengi niliyotaja yataondoka.