NUMBER 10
Member
- Aug 4, 2021
- 97
- 159
Habari wakuu.
Kuna waungwana huwa wanatuaminisha kuwa wanawake wote ni sawa na suala la uzuri lipo kwenye macho ya anaetazama. Nimegundua kuwa huwa tunatiana moyo tuu, ila hili jambo sio kweli kabisa kabisa.
Angalia hii pisi, nafkiri mke wa Adam yuko nyuma. Naamini 90% Hawa hakua hivi. Kuna sehemu unaweza kuweka kasoro kwenye huu mwili. Angalia vyema, tulia utazame kwa umakini. Astaghafirullah, yaani leo nimeona niseme tuuu. Kuna pisi ziko sawa waungwana nyie acheni tuuu. Muda unatwmbea kwa kasi.
Wanawake wetu, wake zetu tunabaki nao sio kwamba tunawapenda basi tuu kwasababu tushawazoea na hatuna pa kutokea ila duniani kuna pisi ziko sawa kabisa.
Naomba kutoa neno kwa wanawake mlio kwenye ndoa ama mahusiano. Muwe munahurumia wanaume kwa vile walivyo na wanachoweza kuwapeni.
Punguzeni jeuri huku nje kuna wanawake wingi na wengi. Wanaume zenu aghlabu huwa wanamigogoro na halmashauri zao kichwani kati ya kuamua aishi na wewe ama aendelee kutafuta fedha ili atafute mwanamke mwengine pisi kali zaidi yako.
Daaaaaah, najaribu kuwaza kwa maandishi tuu. Msije kwa spidi kali kishusha mineno ni UTANI TUU, YKWELI.
KWA YANGA NA WALE JAMAA, MMMMM SIJUI.