Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
To yeye my crush Leo ulilala ubavu gani naona umekumbusha wanakondoo wa Mungu wameopoteaSiyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema🙏🙏🙏
Mungu unaemuomba nasi ni huyohuyo tumuombae aturehemAs long as una Yesu mwana wa Mungu aliyehai ndani yako.
Usiamini kila anayekwambia ana Mungu. Mungu ni cheo. Muulize jina lake ni nani? Wa kwangu ni YHWH ambae jina lake lingine ni YESU. Sio kila mtu anamuabudu huyo. Kuwa makini sana.Mungu unaemuomba nasi ni huyohuyo tumuombae aturehem
Ipi hiyo hebu nikumbusheBadirisha avatar rudisha ile avatar yako tuliyoizoea
Kuna ile avatar yako nyingineIpi hiyo hebu nikumbushe
Kuna ile avatar yako nyingineIpi hiyo hebu nikumbushe
Utakutana na Chupa imejaa shauriyako,I luv uu Ty😍😍
Sio chupa tuu hata nikikutana Na Simtank au ujazo kama Bwawa la Umeme la Julius Nyerere sina tuu Shaka nitamudu vizuri mnooUtakutana na Chupa imejaa shauriyako,
Unaijua Chupa ya Hennessy iliyojaa ilivyo?Sio chupa tuu hata nikikutana Na Simtank au ujazo kama Bwawa la Umeme la Julius Nyerere sina tuu Shaka nitamudu vizuri mnoo
Mambo yamekuwa mengi hata siikumbuki au ila ya picha ya simbaKuna ile avatar yako nyingine
Mambo yamekuwa mengi hata siikumbuki au ila ya picha ya simbaKuna ile avatar yako nyingine
Yes, picha ya Simba, unamjua Simba Mnyama? sio yule wa picha Mnyama, yule ni wa Insta Mnyama, yule ni Utopolo Mnyama, unamjua Simba?Mambo yamekuwa mengi hata siikumbuki au ila ya picha ya simba