GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Njaa inamsumbua hajiamin huyo baro hajajua wapi atatega vizur mtego wake akakidhi haja zake"Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania.
Imeisha hiyo......Kudadadeki.....!!
Ila Manara aisee...Anaitwa Nguli kwa sababu kaisema Yanga?
Honestly Yanga waliandaa Tamasha bovu sana hata kitendo cha kuleta scene ya mahusiano katika watu serious ambao wamefika uwanjani kwa ajili ya kuangalia wachezaji wao bahati mbaya wanakutana na scene ya endless love.
Ifike wakati Manara akubali kukua kwa age yake sio kuendekeza mapenzi tena mbele ya fans.
Manara kwa sasa wewe ni famous na ni mtu mzima kuwa mfano mzuri kwa vijana.
Mkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu. Huku mkikumbushia bil 20 na kuanza kuyatafuta maduka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mobeto tamasha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na wanaume wameegesha pumbu kuangalia
Unahamisha goliMkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu. Huku mkikumbushia bil 20 na kuanza kuyatafuta maduka.
Nihamishe magoli wapi, kwani Oscar na wewe mnatofauti gani?Unahamisha goli
Leo yamekuwa haya kwa Oscar Oscar? Ila akiwa anaikandia Simba SC wana Yanga SC wote si tu huwa Mnafurahi bali pia huwa Mnamsifia mno Mitandaoni? Sasa nimeamini kuwa hakuna Watu WANAFIKI duniani kama Watanzania.Njaa inamsumbua hajiamin huyo baro hajajua wapi atatega vizur mtego wake akakidhi haja zake
Sijawah hata siku moja kumsifia mtu huyu asiokua na msimamo na si huyu tu mkuu hata huyo manara kiukwel angefungiwa tu au aachane na mipira atafute kazi ya kufanya maneno yake so mazur ya kudhihak watuLeo yamekuwa haya kwa Oscar Oscar? Ila akiwa anaikandia Simba SC wana Yanga SC wote si tu huwa Mnafurahi bali pia huwa Mnamsifia mno Mitandaoni? Sasa nimeamini kuwa hakuna Watu WANAFIKI duniani kama Watanzania.
Tafadhali peleka haya Malalamiko yako kule katika Instagram page yake sawa?Sijawah hata siku moja kumsifia mtu huyu asiokua na msimamo na si huyu tu mkuu hata huyo manara kiukwel angefungiwa tu au aachane na mipira atafute kazi ya kufanya maneno yake so mazur ya kudhihak watu