johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni katika kuweka kumbukumbu sawa tu.
Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuishiwa nguvu na kulegea ghafla hali iliyosababisha wasaidizi wake wamkimbize Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa ya madaktari ilieleza baadae kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu baada ya Freeman kuwa amefanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika.
Ni situation kama hii iliyomkuta mzee wetu Mangula baada ya kuwa na vikao na majukumu ya kazi mfululizo bila kupata muda wa kupumzika.
Hali kama hii imewahi kuwakuta watu wengi huko maofisini pia.
Niwatakie Kwaresma yenye baraka!