johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweli kabisa bwashee!
Katibu gani?
Kwenye kampeni mara mbili hizi nyingine za hapa na pale hazina idadi.
Bingwa wewe basi kama haya ni mashindano!Kwa hivyo nani ndio bingwa wa kuungaka? Siasa ya maji taka tabu.
Ni katika kuweka kumbukumbu sawa tu.
Mwenyekiti wa CHADEMA aliwahi kuishiwa nguvu na kulegea ghafla hali iliyosababisha wasaidizi wake wamkimbize Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa ya madaktari ilieleza baadae kuwa hali hiyo ilisababishwa na uchovu baada ya Freeman kuwa amefanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika.
Ni situation kama hii iliyomkuta mzee wetu Mangula baada ya kuwa na vikao na majukumu ya kazi mfululizo bila kupata muda wa kupumzika.
Hali kama hii imewahi kuwakuta watu wengi huko maofisini pia.
Niwatakie Kwaresma yenye baraka!
[/QUOTE
Sasa hili ni suala la kuweka mezani? Yaani unataka kusema sio wana CCM tu wanaougua!