Siyo rahisi kumfahamu Mwanaidara

Siyo rahisi kumfahamu Mwanaidara

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara.

Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti vile vile. Hata wale tuna wasema ni wana idara yes bado tuna hisi hakuna mtu at confirm huyu ni mwana idara kwasababu hakuna ajira za wana idara. Ila wanachaguliwa kutoka sehemu maalumu au vitengo maalumu.

Haya majabali yako imara sana na yanalinda siri zaid ya silaha maaana yanajuwa ukitoa siri waliwa kichwa. End
 
Niko hapa kusubili comment za watu watakaokudhibitishia kwamba wanawajua Wana IDARA na wataenda mbali Zaid nakutaja mishahara, muonekano na tabia zao,

Kuna wanaidara kutoka nchi za nje wanawajua Wana IDARA wa ndan na wako njiani kuukabil huu Uzi kikamilifu
 
Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara.

Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti vile vile. Hata wale tuna wasema ni wana idara yes bado tuna hisi hakuna mtu at confirm huyu ni mwana idara kwasababu hakuna ajira za wana idara. Ila wanachaguliwa kutoka sehemu maalumu au vitengo maalumu.

Haya majabali yako imara sana na yanalinda siri zaid ya silaha maaana yanajuwa ukitoa siri waliwa kichwa. End
Kwa hiyo wsle walevi wanaojitangaza bar kuwa wana wa kitengo nao ni longolomgo?
 
Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara.

Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti vile vile. Hata wale tuna wasema ni wana idara yes bado tuna hisi hakuna mtu at confirm huyu ni mwana idara kwasababu hakuna ajira za wana idara. Ila wanachaguliwa kutoka sehemu maalumu au vitengo maalumu.

Haya majabali yako imara sana na yanalinda siri zaid ya silaha maaana yanajuwa ukitoa siri waliwa kichwa. End

Wakati wa Nyerere ni Sawa Ila sio Kwa wakati huu

Wakati huu wanapost mpaka vitambulisho vyao, mpaka training session zao kwenye social network tu

Sio ishu kubwa Sana Kwa sasa watu kujua huyu ni tiss au not now ishu ni kujua huyu ana hela au Hana
 
Nikweli tumekuwa na uwezo wakusema huyu ni yule na yule ni yule ila kwa vile muundo wa idara za siri za serikali unavyo fanya kazi ni vigumu sana kusema huyu ni mwana idara ila unaweza kumuhisi japo huwezi kumjuwa huyu anafanya kazi ktk idara.

Idara ni nyeti sana na uwendeshaji wake ni nyeti vile vile. Hata wale tuna wasema ni wana idara yes bado tuna hisi hakuna mtu at confirm huyu ni mwana idara kwasababu hakuna ajira za wana idara. Ila wanachaguliwa kutoka sehemu maalumu au vitengo maalumu.

Haya majabali yako imara sana na yanalinda siri zaid ya silaha maaana yanajuwa ukitoa siri waliwa kichwa. End

Kuna MwanaIdara analewaga Chakari mpaka analala mitaloni huku kitaani kwetu..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Si ajabu hata hyo idara haipo, ni hawa hawa MATAGA wanaendaga kutusnitch kwa wakubwa wakati wanasaka teuzi.
 
Kuna MwanaIdara analewaga Chakari mpaka analala mitaloni huku kitaani kwetu..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hakika mkuu wana Idara tupo nao wengi mitaani na tunakunywa nao Kahawa kijiwe umiza,
 
Ni kweli idara zinaendesha mambo kwa usiri mkubwa ila hawa wanaofanya kazi huko kutokana na kupenda sifa wanataka wajulikane wako huko ili waogopwe na na watu n.iwe ticket ya kubeba mademu wa watu huko mitaani
 
Enzi za Nyerere / Mwinyi / Mkapa walikuwa ndo kabsa hawafahamikii
Hivi karibuni wanafahamika kuliko ata wao wanavyojihisi hii imetokana na mwingiliano wa kimaslahi kwenye mambo mbali mbali
 
Hivi wale wenye majina tofauti tofauti ndio wapo idara gani. Mtaani juma mtaa wa pili Hasani ofisini Michael
 
Back
Top Bottom