Siyo rahisi kumfahamu Mwanaidara

Nilikaa naye zaidi ya masaa mawili sehemu fulani napiga kazi karibu na office zao chaajabu baada ya kutoka pale sura ikanipotea hata nikimuona siwezi mtambua tena.
 
Ukipata muda unaweza kunitembelea kwangu ndugu kuna kakitu nikuoneshe .
 
Zamani walikuwa wanajificha ikasababisha wao kukosa taarifa muhimu kutoka kwa raia, lakini kwa sasa wanajitambulisha na kwa kufanya hivyo wamekuwa wakipata taarifa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi.

Hivyo si kweli kuwa hawafahamiki ila ajira zao si za wazi sana mpaka upate connection.
 
Huyo sio mwana idara kujitambulisha ni kosa namba moja kutokuwa ktk idara.
 
ILLUSIONS activated
 
Kwahiyo hata DSO wa huko Wilayani kwako humjui?

DSO ni Afisa Usalama wa Taifa, ngazi ya wilaya. Wanafanya kazi chini ya DC.


Yaani kina Jokate, Mchopanga, Nassari, Nkki wa Pili.


Mnawafikiria kwa makubwa sana kutokana na stori za kutunga vitabuni, movie za kina James Bond.

Kumbe watu wetu ni wa kawaida kabisa, msiwafikirie kwa makubwa hivyo nje ya uwezo wao.

Hawana maajabu watafanya.

Usalama ni Jeshi usu, wengine ndugu zetu, kaka zetu, tunakutana nao kazini, tunaongea nao.

Kwahiyo, kuendelea kuwafikiria kwa mambo ambao hakuna ni uzuzu.
 
Eti na wewe kilaza ni Tiss aisee tuna Safari ndefu hata kuandika hujui" kunjuwa" ndo uandishi gani kilaza mwana idara!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…