Siyo Simba wala Yanga atakayevuka makundi

Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi.

Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi.

Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa tuhamishia nguvu zetu kwenye mijadala ya kitekana na akuuwana badala ya Simba na Yanga.

Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 202
Simba anenda robo fainali tunza komenti Hii ila kama injinia atabadilika na kugundua genge lililomzunguka ni wasaka tongue na kuwaangukia waliomsaidia wakati anaingia madarakani bhadi yanga kufanya vizuri kimataifa tutatoboa.
 
Kibu na Ateba wana mikimbio isiyo na mipango uwanjani.Ahoua nadhani utotoni aliwahi kuugua unyavuzi, maana miguu yake haina nguvu kabisa.

Pale Simba ukiniwmbia nivhagie wachezaji wanaostahili kuwepo ni 3 tu:- Camara, Shabalala na Chemalone basi.
Wengine wote tupa kule.
 
Anaweza kutoboa kwa kutumia mbinu mbadala ya kukusanya waganga wa kienyeji kwenye mechi za nyumbani but sio kwa uwezo wa wachezaji wao bado viwango vyao ni vya kucheza ligi ya ndani na sio mechi za kimataifa,,ata mechi iliyopita ya bravos ilikuwa wapasuke ni kukosa umakini kwa bravos ndio kulifanya waondoke bila point pale kwa mkapa!
 
Wewe ni marehemu aliyeko kaburini anaemcheka mgonjwa aliyeko Hospital. Kwa taarifa yako Simba atacheza robo ila UTO safari yako iko mwishoni.
 
Anaweza kutoboa kwa kutumia mbinu mbadala ya kukusanya waganga wa kienyeji kwenye mechi za nyumbani but sio kwa uwezo wa wachezaji wao bado viwango vyao ni vya kucheza ligi ya ndani na sio mechi za kimataifa,,ata mechi iliyopita ya bravos ilikuwa wapasuke ni kukosa umakini kwa bravos ndio kulifanya waondoke bila point pale kwa mkapa!
Nyuma mwiko uko ndani kabisa
 
Kibu na Ateba wana mikimbio isiyo na mipango uwanjani.Ahoua nadhani utotoni aliwahi kuugua unyavuzi, maana miguu yake haina nguvu kabisa.

Pale Simba ukiniwmbia nivhagie wachezaji wanaostahili kuwepo ni 3 tu:- Camara, Shabalala na Chemalone basi.
Wengine wote tupa kule.
Kwa Kibu na Ahoua nakubaliana na wewe Ila mengine umeongea kishabili
 
Sasa timu inacheza na timu ya kanisa na bendi ya muziki ya ki Angola Maquis du Angola na bado itashindwa kufuzu hii si aibu kwa taifa..
 
Chemalon nae bado sana hana aggressive kwenye kukaba kama baca
 
Bora wote wafungwe, akili ziende kwenye uchaguzi ujao ili kuitoa ccm madarakani
 
Ukiangalia group la Simba, Simba a na nafasi nzuri ya kusimga mbele anahitaji point 6 tu, tofauti na Yanga timu yangu mbele naona Giza
 
Huyo Baca unayesema ni aggresive timu yake ina point ngapi
Timu kufungwa n vitu ving vinachangia s kosa la baka pekee hiyo haiondoi umuhimu wake kama mchezaji bora wa NBC
 
Back
Top Bottom