Simba anenda robo fainali tunza komenti Hii ila kama injinia atabadilika na kugundua genge lililomzunguka ni wasaka tongue na kuwaangukia waliomsaidia wakati anaingia madarakani bhadi yanga kufanya vizuri kimataifa tutatoboa.Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi.
Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi.
Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa tuhamishia nguvu zetu kwenye mijadala ya kitekana na akuuwana badala ya Simba na Yanga.
Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 202
Kibu na Ateba wana mikimbio isiyo na mipango uwanjani.Ahoua nadhani utotoni aliwahi kuugua unyavuzi, maana miguu yake haina nguvu kabisa.Simba anenda robo fainali tunza komenti Hii ila kama injinia atabadilika na kugundua genge lililomzunguka ni wasaka tongue na kuwaangukia waliomsaidia wakati anaingia madarakani bhadi yanga kufanya vizuri kimataifa tutatoboa.
Anaweza kutoboa kwa kutumia mbinu mbadala ya kukusanya waganga wa kienyeji kwenye mechi za nyumbani but sio kwa uwezo wa wachezaji wao bado viwango vyao ni vya kucheza ligi ya ndani na sio mechi za kimataifa,,ata mechi iliyopita ya bravos ilikuwa wapasuke ni kukosa umakini kwa bravos ndio kulifanya waondoke bila point pale kwa mkapa!Simba anenda robo fainali tunza komenti Hii ila kama injinia atabadilika na kugundua genge lililomzunguka ni wasaka tongue na kuwaangukia waliomsaidia wakati anaingia madarakani bhadi yanga kufanya vizuri kimataifa tutatoboa.
Nyuma mwiko uko ndani kabisaAnaweza kutoboa kwa kutumia mbinu mbadala ya kukusanya waganga wa kienyeji kwenye mechi za nyumbani but sio kwa uwezo wa wachezaji wao bado viwango vyao ni vya kucheza ligi ya ndani na sio mechi za kimataifa,,ata mechi iliyopita ya bravos ilikuwa wapasuke ni kukosa umakini kwa bravos ndio kulifanya waondoke bila point pale kwa mkapa!
Kwa Kibu na Ahoua nakubaliana na wewe Ila mengine umeongea kishabiliKibu na Ateba wana mikimbio isiyo na mipango uwanjani.Ahoua nadhani utotoni aliwahi kuugua unyavuzi, maana miguu yake haina nguvu kabisa.
Pale Simba ukiniwmbia nivhagie wachezaji wanaostahili kuwepo ni 3 tu:- Camara, Shabalala na Chemalone basi.
Wengine wote tupa kule.
Kama walivyo mbumbumbu wa Rage na mangungu!Nyuma mwiko uko ndani kabisa
Huyo baca kakaba nini timu imebondwa kama ngoma?Chemalon nae bado sana hana aggressive kwenye kukaba kama baca
Baka bado n beki mzur kwa Tanzania hii hakuna beki wa kumfikia bakaHuyo baca kakaba nini timu imebondwa kama ngoma?
Kwa wachezaji gani? Simba Ina wachezaji 3 tu:- Camara, Chemalone na Shabalala, wengine ni takatakaSimba atacheza robo
Huyo Baca unayesema ni aggresive timu yake ina point ngapiChemalon nae bado sana hana aggressive kwenye kukaba kama baca
Timu kufungwa n vitu ving vinachangia s kosa la baka pekee hiyo haiondoi umuhimu wake kama mchezaji bora wa NBCHuyo Baca unayesema ni aggresive timu yake ina point ngapi