Tatizo Lenu mbumbumbu fc ni Moja tu, kujiona nyinyi ni wakubwa kuliko wapinzani mnao cheza nao. Kwenye kundi Lenu zaidi ya Vipers Hakuna timu nyingine ambayo kwenye record za CAF mnaisogelea tena rekodi za miaka ya karibuni.
Ata hao Vipers Kwa uwezo walionao Kwa hivi karibuni kama mkishindwa kupata matokeo Kwa Mkapa kwao wanawafunga bila shaka yoyote.
Ao Vipers kama nyinyi mnavyo waona under dog na wao wanawaona hivyo.
Mnachotakiwa ni kumheshim mpinzani mtaweza kuona mapungufu yake na kuyatumia, mnavyo jitutumua nyinyi na wachezaji wenu uwa wanajitutumua hivyo hivyo.