Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
CAF ipi? Ile ya walioshindwa au ya mabingwa?Mashindano ya Caf hayaitaji Kiburi ni uwekezaji na heshma Kwa mpinzani wako, ndio Siri ya mafanikio.
Iyo Mapinduzi cup ulitandikwa ukatolewa Kwa aibu.
Sio kweli nafasi nyingi alitengeneza ChamaIngawa bocco alikosa magoli yeye ndio alibadilisha mchezo , kabla ya kuingia simba ilikuwa haileti mashambulizi ndani ya mita 18 vuta kumbukumbu first half .
Baleke na sakho walizidiwa
Kwanini alitolewa Baleke?Inonga pekee yake anaweza wapi wakati kwenye boksi kuna watu watano warefu zaidi yake,ww ulitaka afanye nn.
Kama lawama anaye stahili kwa leo Bocco chance tatu kashindwa kutupia,hata moja.
Sahihi kabisaIngawa bocco alikosa magoli yeye ndio alibadilisha mchezo , kabla ya kuingia simba ilikuwa haileti mashambulizi ndani ya mita 18 vuta kumbukumbu first half .
Baleke na sakho walizidiwa
Sijajua reasons,Beleke hakupata chance kama za Bocco siwezi mlaumu.Kwanini alitolewa Baleke?
Kwa Bocco sawa katugharimu sana ila kwa Chama sijakuelewa mkuu na si vizuri kumzungumzia mwamba kwa style hiyo as if sio mwanasimba mwenzetuTuache Uchawi, Henock kapiga Boli na katubeba sana.
Uzembe wake Mmoja, ulitakiwa kufunikwa na Nafasi tatu alipata Boko akapiga Boko, na nafasi Moja ya Chama ambayo badala ya kutumia akili yeye katumia nguvu.
Umaliziaji Simba, bado kilio.
Kwani simba hawakuw na heshima au ulitazamaje game.Mashindano ya Caf hayaitaji Kiburi ni uwekezaji na heshma Kwa mpinzani wako, ndio Siri ya mafanikio.
Iyo Mapinduzi cup ulitandikwa ukatolewa Kwa aibu.
Lile goli unamlaumu vipi inonga au mm niliangalia tv kwa nyuma ?Simba ingetumia nafasi ilizopata haya yote yasingekuwepo. Ni kweli Inonga Tabia yake ya nendarudi imetoa chances 2 Kwa wapinzani. Moja kasevu Manura ya pili ndo Hilo goli. Tuwe wakweli Horoya haikuwa Timu ya kuifunga Simba Leo.
Haya na leo nyie mmebondwaa huko, tuliza mshonoo.Tatizo Lenu mbumbumbu fc ni Moja tu, kujiona nyinyi ni wakubwa kuliko wapinzani mnao cheza nao. Kwenye kundi Lenu zaidi ya Vipers Hakuna timu nyingine ambayo kwenye record za CAF mnaisogelea tena rekodi za miaka ya karibuni.
Ata hao Vipers Kwa uwezo walionao Kwa hivi karibuni kama mkishindwa kupata matokeo Kwa Mkapa kwao wanawafunga bila shaka yoyote.
Ao Vipers kama nyinyi mnavyo waona under dog na wao wanawaona hivyo.
Mnachotakiwa ni kumheshim mpinzani mtaweza kuona mapungufu yake na kuyatumia, mnavyo jitutumua nyinyi na wachezaji wenu uwa wanajitutumua hivyo hivyo.
Kama weweKumbe Henock Inonga ni Mbilikimo?
Nasubiri Uzi utakaomfungulia Bocco