Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Rejea comment yangu ya kwanza juu yako, and I was right.
Kile kikutokacho moyoni , mdomoni na kimawazo, hakina tofauti sana na kile ukipelekacho chooni.
SAD!
Mkuu usipokuwa na kitu kichwani kubali yaishe.
nyinyi ng'ombe wawili msije fanya kesho nikaenda field kupiga picha kwa ajili yenu.

mnaishi ufala huko halafu mnataka kuwa wasemaji wa yanayoendelea dsm!!!!
 
Ni vyema hali ya ukosefu wa maendeleo ukasawazishwa mapema
 
Reactions: SMU
nyinyi ng'ombe wawili msije fanya kesho nikaenda field kupiga picha kwa ajili yenu.

mnaishi ufala huko halafu mnataka kuwa wasemaji wa yanayoendelea dsm!!!!
Mkorinto ufala ni wa hiyo picha ya Daily News.
Ikosoe.
 
nyinyi ng'ombe wawili msije fanya kesho nikaenda field kupiga picha kwa ajili yenu.

mnaishi ufala huko halafu mnataka kuwa wasemaji wa yanayoendelea dsm!!!!
Ni hapo sasa, siye ng'ombe tuna akili kuliko wewe nguchiro.
Inasikitisha.
 
A picture speaks a thousand words.
Kuna watu hata akiona picha ya mtu amelala chini anatoka povu watasema anatoa Moshi wa sigara.
True na tumshukuru huyu mpiga picha wa Daily News, ujumbe mzito sana huu.
 
True na tumshukuru huyu mpiga picha wa Daily News, ujumbe mzito sana huu.
Gazeti Lao wenyewe halafu wanajitetea ohh mara nyasi zimefanya nini. Kama umefanya kitu kizuri, huna haja ya kukitolea maelezo kwa masaa matatu. Si kitu kitakua kinaonekana.......mtu anatoa maelezo kwasababu anajua alichofanya hakikubaliki.
 
Habari za Wuhan , China mzee!
 
Jidu La Mabambasi,
... kilichokufikirisha nini wakati taarifa rasmi ya serikali ni kuwa mradi umekamilika kwa 75%?
Huyu jamaa angejua saizi bandari imesimama kupokea mzigo ya meli nyingine wanashusha vifaa vya huu mradi tu asingekuja huku shida serikali hai expose sana mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…