GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Siyo tabia nzuri kubusu watoto wa watu hasa midomoni pale tunapowatembelea. Midomo ya watu wazima hasa wasio wazazi wa mtoto husika haiwezi kuwa salama, pia ni ngumu kujua mhusika kapita wapi kabla ya hapo. Huu siyo upendo wala usasa. Tunapaswa kuikemea tabia hii.
Chanzo: AfyaInfo
Chanzo: AfyaInfo