Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Bora uwaambie ukweli tu,
 
Mungu akijalia uzima mwezi wa 5 nitaenda Rwanda, nitatembea sana nijionee utofauti wa hapa na kwao, ila naamino Rwanda ni nzuri zaidi kuliko hili shamba la bibi LINALOFANYWA NA maCCM.
 
Nakubaliana, kutokukubaliana. PK hana ubavu wa kumtoa Angola.
 
Mungu akijalia uzima mwezi wa 5 nitaenda Rwanda, nitatembea sana nijionee utofauti wa hapa na kwao, ila naamino Rwanda ni nzuri zaidi kuliko hili shamba la bibi LINALOFANYWA NA maCCM.
sasa unaenda na theory zako tena? utakuwa so bias..
 
Msilinganishe nchi ya wanaume na nchi ya wavulana, Tz ni nchi ya wanaume , Rwanda ni wadogo zetu hata wakikimbilia huku tunawosomesha na kodi zetu, then tunawaruhusu waende.
 
Msilinganishe nchi ya wanaume na nchi ya wavulana, Tz ni nchi ya wanaume , Rwanda ni wadogo zetu hata wakikimbilia huku tunawosomesha na kodi zetu, then tunawaruhusu waende.

Sawa wanaume wa Dar,mmetusomesha tukawazidi ujanja hii leo Rwanda iko mbali nyie bombadia mshazichukua mkaiga Rwandair mmeangukia pua nchi ya wanaume mwaka wa 60 umeme ni tatizo tena mijini kabisaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu Mwanaume wa Kweli hua hajitaji yeye kama mwanaume utaona matendo yake nyie wanaume wa Dar ila Paul Kagame katulia pale anapiga kazi.
 
Huu ni ukweli. Truth hurts. Tukubali tu. As mtanzania this is a shame to my country. Hawa rwanda they have been through hell while sisi tupo vizuri na kuendelea na ufujaji wetu kwa viongozi bogus, and then wakayavuka magumu na kutupiku vitu kibao. Kwanini tusikubali ukweli ituume ili tubadili rather than faking perfection.
 
Mkuu ww ni mtz mwenzangu unanizingua tu, mnyarwanda hapa angesema nyie watzd ni wanaume wa kweli na ni baba zetu walezi, kuanzia primary school, secondary, vyuo ,mafunzo ya jkt bure hadi kazi yaani kuwa kwao tz ni bonge ya fursa, kama vile cc wa tz kwenda USA. Alfa wanapenda kutaja uzalendo ila uzalendo siyo kushibia kwa jirani, pull up your sox.
 
Ukweli wanaujua wanavunga tu hua nawapa kavu hlafu nchi Zote walizozisaidia zimewazidi kiuchumi na kila kitu kuanzia South africa Angola namibia Etc
 
haya chukua na hii hapo Tz haipo na. Mmekaa baharin fiber ilikotokea ila sisi tumevuta fiber toka kweny network ya kumwaga kwi kwi kwi poleni sana Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
haya chukua na hii hapo Tz haipo na. Mmekaa baharin fiber ilikotokea ila sisi tumevuta fiber toka kweny network ya kumwaga kwi kwi kwi poleni sana Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fastest and coverage are two different things, wanaweza kuwa ns speed ila wako chigali na vimji vingine, vijijini nope, kaputi.
 
Fastest and coverage are two different things, wanaweza kuwa ns speed ila wako chigali na vimji vingine, vijijini nope, kaputi.

Rwanda internet kila mahala ndio maana wanafunzi wana iPad na Laptop kila mtu endelea kufanya analysis ya makinikia
 
haya chukua na hii hapo Tz haipo na. Mmekaa baharin fiber ilikotokea ila sisi tumevuta fiber toka kweny network ya kumwaga kwi kwi kwi poleni sana Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua tofauti zilizopo kati ya Rwanda na Tz, kijiigrafia, kisiasa na kiuchumi na hata kijamii? Unajua nchi ipi ni kubwa kieneo na ipi ina population kubwa zaidi ya nyingine ki density population? Ukiyajua hayo Utajua, Tz inatakiwa ijenge zahanati ngapi kukidhi watu wake na Rwanda ngapi? Mtandao wa lami ukidhi how many kms, reli na simu pia. Mtandao na huduma za mikoa mitano nitakayokutajia tu Rwanda itapitwa vibaya, Dar kwakuwa Kigali ipo, Klm, Mby, Mwanza na Arusha, ktk hapo tu kila kitu kuaanzia GDP nk Rwanda chali.

Hiyo mikoa minne yenye watu idadi inayokaribiana na Rwanda, au let's say, kila kitu kilichopo Tz kiwepo ktk mkoa mikoa ya Morogoro na Iringa Hadi idadi ya watu hiyo nchi ingekuwaje?

Kila kitu kina faida na hasara zake pia, inawezekana urefu wa barabara moja tu ya Tz ndo mtandao wote wa barabara Rwanda.
 
Kongo ina kila kitu ila maskini wa Kutupa na ukubwa ule kwi kwi kwi nyie nchi yenu pa1 na population kila mkoa una rasilimali za kutosha ila maji ya kunywa pale Mkoa wa shinyanga tabu na Kigoma pia tabu tupu huko songea watu wanalkunnywa maji na ngombe iringa kuna mbao ila madawati hakuna Tz kweli mazezeta mko wengi sana shame on you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…