Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Rafiki yako hakua Rwanda huyo anakudanganya either unamdai au mna biashara fulana mnafanya anataka kukutapeli,Rwanda kuanzia umeme maji network za barabara simu zipo kila mahali,Hyo Tanzania yenu mmeshindwa kujenga Flyover mji mkubwa kama Dar es salaam halaf kale kanajengwa Tazara et flyovver ccm imewafanya mazezeta sana nchi kama Tz yenye rasilimali tele et umeme ni tatizo mwaka 2018 shule hazina vyoo Maji ni tatizo pale Kahama na ipo karibu na Lake victoria nchi ina gesi lakin mtung wa gesi ghali kuliko mkaa.
Bora uwaambie ukweli tu,