Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
hili halina ubishi!well said, inteligensia ya tz imeshuka sana. Harafu watu hawashituki. tuko uchi kuliko watu wanavyofikiri. watu wanakuja, wanachota data, hawooo...! Issue nyingine ni sisi wenyewe. personnel wengi wa TISS ni vijana na hawana weledi. nilishatoa kisa cha usalama wa taifa waliojikojolea pale Millennium Tower baada ya gaidi kutoweka(varnish) machoni mwao! walikuja kukanusha kwa nguvu zote! kwa mfano, mwaka 2008, TZ ilikuwa ina Raia wa kutoka Rwanda elfu 10(10,000) hii ni undercover research ya wakati huo Ukitoa idadi ya wakimbizi. vikao vikifanyikia Learders club (those days)!...sijui kama bado wanafanyia huko. Balozi wa kipindi hicho aliwahi kusoma murutunguru secondary huko mwanza na secretary wake alikuwa ameolewa na mtz. kuna kijana mmoja sikumbuki cheo kamili...i guess alikuwa administrator hapo ubalozini, akawa anasoma hapo IFM na akawa anajichanganya mpaka Night club za kinondoni...na demu wake alimpangishia hapo karibu na mahakama ya Kinondoni...
so my point is, tumedukuliwa vya kutosha kwa sababu they're among us. Pia, Tumekosa dira kwenye medani hizi za kishushushu. Siasa nayo imechangia kuwa hivi tulivyo leo
wapo katoro,hadi kahama aisee wanaongea kisukuma kabisa,kahama pale kuna jengo lina bendera ya Rwanda...ma Rais wa mbele watapata shida sana kwa mpeneyezo unaotokea sasa hiviNa kinachoniacha hoi, ikiwa hizi tetesi zina ukweli kwanini jeshi na TISS wapo kimya?
Kwamba hawajui anayedai miaka saba katumwa?
Hawajui kwamba huko Mwanza wapo wengi na mpaka wanaongea kisukuma?
Kinyago chako kinakuja kukutishaMkuu Consigliere, where i come from ushahidi ni jambo muhimu sana. hata kama huwa ni jambo la siri, mwishowe hujulikana tu. Ila kujua huyu ni spy inatakiwe uwe smart pia. Spies wengi wa kagame wametengenezwa humu humu Afrika na wengine europe. wengi wamepitia pale monduli na wengine huja kwenye course hapo JWTZ
Kunasiri kubwa bado ila Magu sio mjinga kihivyoNimeipenda hii mod, unajua tuwe waangalifu na watu kama Chipa GM, kwa sasa wapo TZ kwa wingi, Ke na ME. Yote hiyo ni kutaka kurudisha Bahima Empire in East Africa. Huyo anayesema eti Mr. Slim siyo wa kuogopwa anajidanganya. JK hakuwa mjinga kumsitukia. Na ikiwa sasa hatusituki... si inawezekana ikawa ndiyo sindano hiyo imeshaingia na inafanya kazi TZ?
PKMr. Slim?
Uzalendo weka chini ya kapeti hapa ni mwendo wa codeMleta mada hawezi taja hata jina la anayemshutumu hapa.
Kweli we mzalendo adui yako unamjua lakini huthubutu hata kutaja jina ?
Kwahiyo mnataka kutuaminisha kwamba kila mnyarwanda aliyeko tz ni spy?
Anataka kuwa na total control of Tanzania kama remote presidentLengo hasa la mr slim ni nini mpaka awe na maspies wengi kiasi hiki?
Kuna kipindi ilisemekana kuna mwanajeshi mwenye cheo kikubwa tena ni mtaalam wa IT alitoweka na hajulikani alipokwenda,je ilishajulikana alipo?
wapo katoro,hadi kahama aisee wanaongea kisukuma kabisa,kahama pale kuna jengo lina bendera ya Rwanda...ma Rais wa mbele watapata shida sana kwa mpeneyezo unaotokea sasa hivi
Anataka kuwa na total control of Tanzania kama remote president
We are watching out and remain vigilantKwa kipi ilichonacho Tz,Kaazi kweli kweli Huu ni uzi wa 10 kama sikosei mwaka huu ni ishu za Kagame kagame na Rwanda yake nadhani watz wamefika mwisho wa kufikiri
We are watching out
Let assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.
Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.
Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.
Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.
Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.
Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.
Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.
Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.
Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.
Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?
Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.
Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.
Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.
Kujipatia madini kama anavyofanya kule Congo navtotal control ya bandariLet assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!