Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

well said, inteligensia ya tz imeshuka sana. Harafu watu hawashituki. tuko uchi kuliko watu wanavyofikiri. watu wanakuja, wanachota data, hawooo...! Issue nyingine ni sisi wenyewe. personnel wengi wa TISS ni vijana na hawana weledi. nilishatoa kisa cha usalama wa taifa waliojikojolea pale Millennium Tower baada ya gaidi kutoweka(varnish) machoni mwao! walikuja kukanusha kwa nguvu zote! kwa mfano, mwaka 2008, TZ ilikuwa ina Raia wa kutoka Rwanda elfu 10(10,000) hii ni undercover research ya wakati huo Ukitoa idadi ya wakimbizi. vikao vikifanyikia Learders club (those days)!...sijui kama bado wanafanyia huko. Balozi wa kipindi hicho aliwahi kusoma murutunguru secondary huko mwanza na secretary wake alikuwa ameolewa na mtz. kuna kijana mmoja sikumbuki cheo kamili...i guess alikuwa administrator hapo ubalozini, akawa anasoma hapo IFM na akawa anajichanganya mpaka Night club za kinondoni...na demu wake alimpangishia hapo karibu na mahakama ya Kinondoni...

so my point is, tumedukuliwa vya kutosha kwa sababu they're among us. Pia, Tumekosa dira kwenye medani hizi za kishushushu. Siasa nayo imechangia kuwa hivi tulivyo leo
hili halina ubishi!
tumeendekeza siasa kwenye mambo yasiyofaa kuleta siasa matokeo yake tumeigawa nchi kwa wadukuzi
 
Na kinachoniacha hoi, ikiwa hizi tetesi zina ukweli kwanini jeshi na TISS wapo kimya?

Kwamba hawajui anayedai miaka saba katumwa?

Hawajui kwamba huko Mwanza wapo wengi na mpaka wanaongea kisukuma?
wapo katoro,hadi kahama aisee wanaongea kisukuma kabisa,kahama pale kuna jengo lina bendera ya Rwanda...ma Rais wa mbele watapata shida sana kwa mpeneyezo unaotokea sasa hivi
 
Mkuu Consigliere, where i come from ushahidi ni jambo muhimu sana. hata kama huwa ni jambo la siri, mwishowe hujulikana tu. Ila kujua huyu ni spy inatakiwe uwe smart pia. Spies wengi wa kagame wametengenezwa humu humu Afrika na wengine europe. wengi wamepitia pale monduli na wengine huja kwenye course hapo JWTZ
Kinyago chako kinakuja kukutisha
 
Nimeipenda hii mod, unajua tuwe waangalifu na watu kama Chipa GM, kwa sasa wapo TZ kwa wingi, Ke na ME. Yote hiyo ni kutaka kurudisha Bahima Empire in East Africa. Huyo anayesema eti Mr. Slim siyo wa kuogopwa anajidanganya. JK hakuwa mjinga kumsitukia. Na ikiwa sasa hatusituki... si inawezekana ikawa ndiyo sindano hiyo imeshaingia na inafanya kazi TZ?
Kunasiri kubwa bado ila Magu sio mjinga kihivyo
 
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.

Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.

Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.

Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.

Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.

Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.

Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.

Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.

Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.

Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?

Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.

Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.

Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.
Let assume kuw Mr.Slim ni hatari kuliko tunavyofikiria ,ana ma spy 200 wa kike na udogo wa nchi yake sio hoja, swali ni je anaweza kufanya nini? Kuipiga tz nyuklia ..................siielewagi hii kitu!
 
Sisi tunataka mahusiano mazuri na nchi jiran mambo mengine ni hisia zenu nyinyi kwanza ni ndungu zetu kwa nini tutafute ubaya na nyie?Rwanda&tanzania undugu wetu udumu milele sema Amina@in Lusekero voice
 
Back
Top Bottom