Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilashaka umepelekwa Senegal na PK nawewe.....Waswahili wana matatizo sana hua najiuliza huko Tz kuna nin mpaka Hao wanyarwanda wakae kuspy nchi maskini hiyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.
Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.
Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.
Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.
Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.
Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.
Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.
Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.
Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.
Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?
Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.
Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.
Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.
Umejishtukia mapema, ulufuata nini Tzn nasasa Senegal?
Bilashaka umepelekwa Senegal na PK nawewe.....
Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.Nipe connection kati ya mossad na Kagame. Acha story za mitaani
Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda Kagame Na Amani Ya Congo Wapi Na Wapi Congo Inapata Uhuru Hali Haikuwa Shwari Na Imeenda Hivyo Mpaka Leo Kagame Na Museveni Ni Vibaraka Tu Wa Wazungu Ila Kutudanganya Kagame Kaivuruga Kongo Hapana Kongo Imevurugwa Muda Mrefu Sana Na Nchi Za Magharibi
Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda ilijuaje kuwa Balozi aliyekuwa anapelekwa Kigali kuiwakilisha Tanzania alikuwa ni jasusi wa TISS?
Unajua who is behind Mtikila's mystery death? And why?
Unajua ni nani ameifanya Congo isiwe stable Hadi leo and why?
Tanzania ilikuwa vizuri Sana kijasusi lakini sasa hivi hamna kitu, kuendekeza siasa kwenye kila jambo ndo kunaenda kuligharimu taifa letu.
Wewe ukikurupuka Sana kumu under rate Mr slim.
Halafu kukurupuka kwako unataka kuona Uko sawa.
Museveni keshamshtukia ndo maana alikuwa anapanga kumfanyia assassination, Gazeti la Reddpepper lilipofichua likafungiwa.
Huyu wa kwetu ndo anamwona best, hakuna urafiki Kati ya binadamu na nyoka.
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app

Nadhan hapa hoja ni raia wa kigeni kufanya kazi zaid kupewa kitengo nyeti serikaliniHyo hoja dhaifu kdg japo si sana. Kwani ukiona mtu anaonekana mnyarwanda basi amepandikizwa?? Ndivyo unavyomini?? Mara ngapi magazetini wageni wanatangaza kuomba uraia? Hv ukiulizwa Rostam ni mtu wa wapi utasema wa Iran?? Wakati yy anasema ni mnyamwezi wa igunga kadhalika Bashe Hussein utasema ni mtu wa somalia sio??
Kama unafuatilia vzr baada ya kufa raisi wa Zambia unajua aliyekua raisi wa mpito alikua mzungu? But ni mzambia so usihitimishe kuwa ukiona mnyarwanda mahali basi kapandikizwa JAPO inawezekana ikawa kweli.
Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda ilijuaje kuwa Balozi aliyekuwa anapelekwa Kigali kuiwakilisha Tanzania alikuwa ni jasusi wa TISS?
Unajua who is behind Mtikila's mystery death? And why?
Unajua ni nani ameifanya Congo isiwe stable Hadi leo and why?
Tanzania ilikuwa vizuri Sana kijasusi lakini sasa hivi hamna kitu, kuendekeza siasa kwenye kila jambo ndo kunaenda kuligharimu taifa letu.
Wewe ukikurupuka Sana kumu under rate Mr slim.
Halafu kukurupuka kwako unataka kuona Uko sawa.
Museveni keshamshtukia ndo maana alikuwa anapanga kumfanyia assassination, Gazeti la Reddpepper lilipofichua likafungiwa.
Huyu wa kwetu ndo anamwona best, hakuna urafiki Kati ya binadamu na nyoka.
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
hakuna mwenye uhakika..watu wanahara tu humuNadhan hapa hoja ni raia wa kigeni kufanya kazi zaid kupewa kitengo nyeti serikalini
huna lolote ujualo..umejaa blaahblaah tuUnazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda ilijuaje kuwa Balozi aliyekuwa anapelekwa Kigali kuiwakilisha Tanzania alikuwa ni jasusi wa TISS?
Unajua who is behind Mtikila's mystery death? And why?
Unajua ni nani ameifanya Congo isiwe stable Hadi leo and why?
Tanzania ilikuwa vizuri Sana kijasusi lakini sasa hivi hamna kitu, kuendekeza siasa kwenye kila jambo ndo kunaenda kuligharimu taifa letu.
Wewe ukikurupuka Sana kumu under rate Mr slim.
Halafu kukurupuka kwako unataka kuona Uko sawa.
Museveni keshamshtukia ndo maana alikuwa anapanga kumfanyia assassination, Gazeti la Reddpepper lilipofichua likafungiwa.
Huyu wa kwetu ndo anamwona best, hakuna urafiki Kati ya binadamu na nyoka.
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Sio kwamba ww ndo huna uhakika mkuu?hakuna mwenye uhakika..watu wanahara tu humu
unataka connection ipi? Nadhani kila kitu kipo clear nimeelezea hapa.IT expert kuwa jeshini basi umeconclude yote hayo. Nakuuliza IPI connection ya mossad na R.. ! Tz ina mahusiano mabaya na Mossad kiaje na lini.., Tz now ipo vizuri sana Israel, msimamo wa Jerusalem upo hivi, Un bado wanaamini lazma muafaka ufikiwe btn Israel & Palestinian ndiyo mji mkuu..tz n member wa UN na hatuwezi kwenda against Dunia na UN. Msimamo wa Tanzania na UN upo crear. Nadhan unafahamu nchi ngap ziliunga mkono Un. Siyo kila k2 tunaandika hapa.
But Mr slim hawezi na hana uwezo huo. Ulioandika ni story za kahawa na vijiweni. Hata wewe Leo nenda nchi yeyote omba zaa mtoto na chukua URaia wa hiyo nchi..mtoto wako anaruhusiwa kuwa mtumishi makini wa nchi.
Mmh hapa kwa walembo hawa. Mbona tuta tekwa maana kuna shushu alikua kalowea kwa jimama moja sijui lilikua linampa nini Analia kutwanzima hii kitu haina mbabeIf these are the type of spies sent to us... Then we are done...!!! Trust me totally done [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji175] [emoji116] View attachment 692873
afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!acha kutukana watz hao watu wenu wamefundishwa tz kwaiyo usitukane hovyo kama mwisho wa kufikiri ni wa huyó aliyeandika
najaribu kufikiri tu hivi lijitu kama libashite linaweza kuchomoka hapo kweli??If these are the type of spies sent to us... Then we are done...!!! Trust me totally done [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji175] [emoji116] View attachment 692873