Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!



Nipe connection kati ya mossad na Kagame. Acha story za mitaani
 
Nipe connection kati ya mossad na Kagame. Acha story za mitaani
Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda ilijuaje kuwa Balozi aliyekuwa anapelekwa Kigali kuiwakilisha Tanzania alikuwa ni jasusi wa TISS?
Unajua who is behind Mtikila's mystery death? And why?
Unajua ni nani ameifanya Congo isiwe stable Hadi leo and why?
Tanzania ilikuwa vizuri Sana kijasusi lakini sasa hivi hamna kitu, kuendekeza siasa kwenye kila jambo ndo kunaenda kuligharimu taifa letu.
Wewe ukikurupuka Sana kumu under rate Mr slim.
Halafu kukurupuka kwako unataka kuona Uko sawa.
Museveni keshamshtukia ndo maana alikuwa anapanga kumfanyia assassination, Gazeti la Reddpepper lilipofichua likafungiwa.
Huyu wa kwetu ndo anamwona best, hakuna urafiki Kati ya binadamu na nyoka.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
 
 

IT expert kuwa jeshini basi umeconclude yote hayo. Nakuuliza IPI connection ya mossad na R.. ! Tz ina mahusiano mabaya na Mossad kiaje na lini.., Tz now ipo vizuri sana Israel, msimamo wa Jerusalem upo hivi, Un bado wanaamini lazma muafaka ufikiwe btn Israel & Palestinian ndiyo mji mkuu..tz n member wa UN na hatuwezi kwenda against Dunia na UN. Msimamo wa Tanzania na UN upo crear. Nadhan unafahamu nchi ngap ziliunga mkono Un. Siyo kila k2 tunaandika hapa.

But Mr slim hawezi na hana uwezo huo. Ulioandika ni story za kahawa na vijiweni. Hata wewe Leo nenda nchi yeyote omba zaa mtoto na chukua URaia wa hiyo nchi..mtoto wako anaruhusiwa kuwa mtumishi makini wa nchi.
 
Nadhan hapa hoja ni raia wa kigeni kufanya kazi zaid kupewa kitengo nyeti serikalini
 

I wish ningeweza kukujibu ... Ila sheria zitanifunga hapa
Endelea kujifunza, siku moja utaweza kujenga hoja nzuri zaidi
Jitahidi usome sana na kuongea kidogo ili tusijue uwezo wako
Nakushauri tu as your brother
 
huna lolote ujualo..umejaa blaahblaah tu
 
Watz kila mgeni ni spies. Tanzanians know more about their neighboring country than they know about their own country. Funny people indeed.
 
unataka connection ipi? Nadhani kila kitu kipo clear nimeelezea hapa.
Wewe ni ccm na ukiwa ccm ni lazima uwe mnafiki, hujajibu hoja zangu zote hapo juu, bado ume stick eti ni story za kahawa.
Utabakia hivyo hivyo lakini huwezi kuukimbia ukweli.
 
If these are the type of spies sent to us... Then we are done...!!! Trust me totally done [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji175] [emoji116] View attachment 692873
Mmh hapa kwa walembo hawa. Mbona tuta tekwa maana kuna shushu alikua kalowea kwa jimama moja sijui lilikua linampa nini Analia kutwanzima hii kitu haina mbabe
 
acha kutukana watz hao watu wenu wamefundishwa tz kwaiyo usitukane hovyo kama mwisho wa kufikiri ni wa huyó aliyeandika
afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…