My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.
Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.
Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.
Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.
Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.
Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.
Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.
Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.
Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.
Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?
Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.
Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.
Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.