October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Let Be Real.
Mwanamke mwili wake ndio pambo lake, ndio maana wanasema mwanamke uwa, Mwamke aliye Smart anaujari mwili wake kwenye maeneo tofauti tofauti.
Kwa mwanamke aliye Smart hawezi jiachia kitambi (manyama uzembe), mwanamke anayejari mwili wake hawezi kuwa na kitambi bila kufanya namna ya kuounguza hilo tumbo kwa njia yoyote ya Kuchoma mafuta I.e mazoezi.
Mwanamke aliye na tumbo sense yenyewe inaondoka kabisa, kuna ile Conversation nzuri zaidi ya zote Duniani pale umelala kitandani na Manzi yako munapiga story pale mwanaume mikono unampiga tairi mwanamke kama unamkumbatia mikono inabidi mzunguke sasa kama mwanamke ana kitambi inakuwa shida.
Karne ya 21 elimu ya mazoezi imejaa kila kona unakuwaje na kitambi cha mafuta (nyama uzembe) mwanamke, sizungumzingii tumbo linalotokana na sababu zingine.
Siwezi kuwa na mwanamke mwenye kitambi naona ni mwanamke asiyejari mwili wake.