Siyo vizuri mwanamke kuwa na kitambi (nyama uzembe)

Siyo vizuri mwanamke kuwa na kitambi (nyama uzembe)

@Espy => @Atoto

[emoji3][emoji3] Mnakata stimu sana na vitambi vyenu. Yaani mkisha olewa na kuzaa mnajiachia sana.
Nyie mnajiachia mkishafanya nini? Maana hamzai na mko na mimba[emoji28]

Ila kitambi basi tu, mvizoee tu maana hamna namna.
 
Kwa kweri....hari hiyo inakatisha mzuka..
Warahi Tena....😂🚶
 
Ata ukiwa na matako makubwa nimanyama uzembe pia🏃🏃🏃
 
2020-10-10%2008.51.27.jpg
 
ukitaka kujua kitambi ni balaa ni pale bibi harusi anakaribia kufunga ndoa ndo utaona mtu anateseka, mara mazoezi mara atafute mkanda
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo picha ni enzi za ujana. Sasa hivi tumbo ninalo..silipendi lakini sitahanaika kulitoa kwaajili ya mtu mwingine. Atakayenipenda apende na tumbo langu..hataki aende zake kwa wasio na matumbo.
Huo ni ubinafsi. Unaficha uzembe wa kufanya mazoezi nyuma ya kivuli cha kujikubali ulivyo. Hayo matumbo ninutapiamlo. Fanya mazoezi utakuwa fit na mwili utakuwa stable.
 
Huo ni ubinafsi. Unaficha uzembe wa kufanya mazoezi nyuma ya kivuli cha kujikubali ulivyo. Hayo matumbo ninutapiamlo. Fanya mazoezi utakuwa fit na mwili utakuwa stable.
Ubinafsi unatoka wapi ndugu?
 
Naona itabidi niongeze bidii kwenye kujali mwili.wangu...Kumbe Ni pambo

Kitambi hakikubaliki
 
Back
Top Bottom