Siyo vizuri mwanamke kuwa na kitambi (nyama uzembe)

Hakuna mwanaume anavutiwa na mwanamke mwenye kitambi, ni kuvumiliana tu. Ila mimi nishampa onyo kuwa aongezeke vyote ila tumbo likiongezeka nita-deal nalo ipasavyo.
 
Kitambi hakifai iwe kwa mwanamke au mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…