Uchaguzi 2020 Siyo vyema kwa baadhi ya watia nia CCM huku Jimbo la Nkenge wilayani Misenyi wanavyogawa fedha kimya kimya



Kama wanakupa hela kwanini unawasanua kula hela mkuu mpaka ununue hata pikipiki, sasa wakikamatwa wewe, utaipataje hiyo maana hata wasipotoa kula wewe , unapata faida gani
 
naomba utuache!! Ebo. huo ni utamaduni wa chama chetu
Chama kinafuata katiba na pia utamaduni
 
kuna siku nipo zangu kwa mama mkwe nimeenda kusalimia, mara pap kaingia mtu na packet ya chumvi na kiberiti eti vimetoka kwa mgombea
nilitamani nimrarue ila kuwa nilikuwa ugenini nikanyamaza
 
Duh nmetafuna pesa za Kampala, Assumpta na Dr mwenye majigambo lakin elimu ndogo anajiita Dr mazima ila we Kyombo sikuila yako cha ajabu nikakupa kura. Please uwe muungwana na uwaskilize wana Nkenge
 
Duh nmetafuna pesa za Kamala, Assumpta na Dr mwenye majigambo lakin elimu ndogo anajiita Dr mazima ila we Kyombo sikuila yako cha ajabu nikakupa kura. Please uwe muungwana na uwaskilize wana Nkenge
 
Wanatumia pesa kupata uongozi, Kiongozi huyo huyo akipatata uongozi unatarajia alete Maendeleo au apambanie tumbo lake?
 
Wanatumia pesa kupata uongozi, Kiongozi huyo huyo akipatata uongozi unatarajia alete Maendeleo au apambanie tumbo lake?
Kwani uongozi wetu niwa kuleta Maendeleo?
 

Attachments

  • 2451677_Apandacho_mtu_ndicho_atakachovuna__268_X_480_.mp4
    370.1 KB
Duh nmetafuna pesa za Kamala, Assumpta na Dr mwenye majigambo lakin elimu ndogo anajiita Dr mazima ila we Kyombo sikuila yako cha ajabu nikakupa kura. Please uwe muungwana na uwaskilize wana Nkenge
Nani kachaguliwa na wajumbe. Naona bora achaguliwe kilaza yeyote yule kuliko Dr. Kamala. Anayemlinganisha Assumpta na huyu Dr. anakosea mno, Assumpta ana afadhari mara dufu kuliko huyo jamaa.
 


CCM na RUSHWA ni damu damu.
 
Mkuu Riz, Uzi wako uko biased kwa malengo unayoyajua wewe, inaelekea unatumika kufanya propaganda kwa kutumia tumbo badala ya kichwa.
Serikali IPO INA macho na masikio kuliko unavyofikiria we we, kama kuna mgombea alijihusisha na vitendo vya kutoka rushwa,mfumo una unazo taarifa za kila mgombea na yote yalifanyija gizani na mchana kweupe.
Njaa isikufanye kujifanya unajua kuliko vyombo na mifumo ya Serikali, taarifa zilishafika mahala husika, wala huhitaji kutumia nguvu nyingi kwenye mitandao,subiri maamuzi ya vikao.Endelea kupambana ili mgombea wako aongeze ka bakishishi
 
Kawataja wagombea wote. Yupi anamnunulia baiskeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…