Size AAA

Size AAA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO

Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,

Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,

Daktari : Hebu vua nguo tuone,

Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.

Daktari : usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.

jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake. basi dokta kuona, ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dakika 3 hadi machozi yakamtoka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dushelele ya jamaa ilikua ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,

Daktari : enhee Tatizo ni nini???

Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,[emoji23][emoji23][emoji23]

Daktari akazimia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom