Siziamini Beki za Kati za Yanga kimataifa

Kwahiyo ubora wa kuwafunga Ihefu na Akina Polisi ndogo ubora unaowapa kiburi cha kwenda kuwafunga Al Ahly, Mamelodi na Widad kwa mfano. Watu huwa mnaotaga MCHANA asee.

Mtoa post kawaza mbali Kimataifa WEWE unawaza performance ya ligi kuu Tz.

Yanga Kimataifa itacheza mechi 4 tu na kuaga. Tusubiri!
 
Ila zile beki, zilizoruhusu goli 11 ndio unaziamini..? Ok
Vita 5- simba 0
Ahly ahly 5- simba 0

Kweli simba ndiyo team yenye beki imara, yanga wadhaifu.
Kuna timu nyingine umeisahau toka Tunis nayo ilimbugiza MAKOLOKOLO FC 5 "HAMSA" msimu huo huo.
 
Ila zile beki, zilizoruhusu goli 11 ndio unaziamini..? Ok
Vita 5- simba 0
Ahly ahly 5- simba 0

Kweli simba ndiyo team yenye beki imara, yanga wadhaifu.
Kwahiyo Simba imeingiaje Hapa.

Pili wakati Simba anafungwa HIZO goli, Yanga mlikuwa wapi? Na tangia wakati him kmefanya in Kimataifa?
Aliyesema Wenye akili Yanga Ni wawili tu, hakukosea.
 
Kwahiyo Simba imeingiaje Hapa.

Pili wakati Simba anafungwa HIZO goli, Yanga mlikuwa wapi? Na tangia wakati him kmefanya in Kimataifa?
Aliyesema Wenye akili Yanga Ni wawili tu, hakukosea.
Na aliyesema za kuambiwa changanya na zako hatimaye MAKOLOKOLO mkampuuza ndiye ameonekana Shujaa baada ya kushushiwa kipondo na msiyempenda MAYELE na kubaki mnajiliwaza na "MLETE MZUNGUUUUU" [emoji38]
 
Ukuta wa Uto rojo,

Uto 0 Vipers 2
Uto 2 Simba 1
Polisi 1 Uto 2

(Mechi 3, GF 4 GA 4 GD 0) chukueni hatua watani msije mkatuaibisha kimataifa
 
Na aliyesema za kuambiwa changanya na zako hatimaye MAKOLOKOLO mkampuuza ndiye ameonekana Shujaa baada ya kushushiwa kipondo na msiyempenda MAYELE na kubaki mnajiliwaza na "MLETE MZUNGUUUUU" [emoji38]
Akili yangu Ni KUBWA siwezi kubishana na akili ndogo km wewe. Huu ni mpira inahitaji watu wanaoongea mpira.
 
Ila zile beki, zilizoruhusu goli 11 ndio unaziamini..? Ok
Vita 5- simba 0
Ahly ahly 5- simba 0

Kweli simba ndiyo team yenye beki imara, yanga wadhaifu.
Umewasahau Mazembe waliwapiga nne ilikuwa mwaka huo pia
 
unajua maana ya Kimataifa au unakurupuka tu.
Jamaa kasema msimu uliopita walimaliza unbeaten, yaan walichukua ubingwa bila kufungwa. Msamehe tu maana hajaelewa mada, ye kazungumzia NBCPL wakati mada ni CAFCL ambako hatua ya awali alipigwa nje ndani
 
Umewasahau Mazembe waliwapiga nne ilikuwa mwaka huo pia
Ukiwashangaa simba kupigwa hamsa mechi mbili utagutuka usingizi na kugundua kuwa ni simba hao hao ndio walifuzu kwenda robo fainali na vipigo hivyo hivyo

Wakati unaendelea kuwashangaa simba kupigwa nne na mazembe utagutuka ukipata ukwel kuwa mamelod msimu uliopita aliishia robo fainali, alipigwa ngapi na nani tafuta data

Maoni yangu
Mleta mada ameongea fact inayoonekana waz kabisa kuwa yanga kwa sasa pale nyuma kuna uchochoro, ushabiki wa mahaba hauna maana ila ushabiki wa mpira unasaidia, yanga wajitazame upya

Kwa Zalan watapita ila mleta mada mtamkumbuka mkikutana na Al hilal
 
Kwamba ukiwa na baki nzuri ndio ufungwi mpira wa kisasa ni system ya kucheza kwa timu nzima sio kumtegemea mtu.
Jidanganye pale city aumie kdb pale Liverpool aumie alcantara na salah nd utaikataa kauLii yako
 
Umeongea LA maana performance ya ligi kuu ipo vzuri tatzo je consinsitency iyo iyo nd watakua nayo CafcL
 
Unaota ww, kwa yanga ipi ya kutoboa kimataifa!!!!???? Mwamnyeto, job!!!?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Timu gani ambayo haifungwi cha msingi shinda mechi Real Madrid kachukua UCL sio kwamba alika haifungwi ila alikua anashida mechi hata Simba kipindi anapigwa zile 5 - 5 -4 alikua anashida mechi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…