martial jb JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 863 Reaction score 1,462 Oct 8, 2022 #41 Hapana yanga hana kikosi cha kushindana kimataifa! Sio beki tu Tuongee ukweli
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Oct 8, 2022 #42 Joseverest said: sawa huko kimataifa tutaenda hamna tabu Click to expand... Vp Ngapi Huko
Chendembe JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 444 Reaction score 488 Oct 8, 2022 Thread starter #43 martial jb said: Hapana yanga hana kikosi cha kushindana kimataifa! Sio beki tu Tuongee ukweli Click to expand... Naweza kuamini kauli yako. Mpira wa Sasa ni akili na nguvu kidogo. Wenzetu wamejaaliwa nguvu. Nimeona huruma kuona muda ulivyokuwa unazidi Keisha wachezaji wamekata tamaa na kutamani kulia badala ya kupambana
martial jb said: Hapana yanga hana kikosi cha kushindana kimataifa! Sio beki tu Tuongee ukweli Click to expand... Naweza kuamini kauli yako. Mpira wa Sasa ni akili na nguvu kidogo. Wenzetu wamejaaliwa nguvu. Nimeona huruma kuona muda ulivyokuwa unazidi Keisha wachezaji wamekata tamaa na kutamani kulia badala ya kupambana
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Oct 8, 2022 #44 Wamezoea Pointi za kupewa na Waamuzi akina Arajiga wanadhani Champions league napo kuna mbeleko ***** zao
Wamezoea Pointi za kupewa na Waamuzi akina Arajiga wanadhani Champions league napo kuna mbeleko ***** zao