Skandali la Ubakaji Ndani ya Kanisa Katoliki,

Skandali la Ubakaji Ndani ya Kanisa Katoliki,

Estmeed Reader

Senior Member
Joined
Mar 19, 2010
Posts
134
Reaction score
0
Skandali ndani ya Kanisa Katoliki, hasa katika Nchi Zilizoendelea za Ulaya Magharibi na Amerika, inazidi kuchanua kiasi cha kumhusisha Papa Mtakatifu wa sasa alipokuwa Padri huko kwao Ujerumani.

Ukweli ni kwamba wengi wa ma-Padri tuliokuwa tunaletewa huku kwetu (kwa mfano, Tanzania) walikuwa wakitoka Ulaya Magharini na Amerika.

Kulikuwepo na fununu fununu za baadhi ya ma-Padri hao kufanya vitendo vya udhalimu vya ngono na wake za watu na wasichana kwa kisingizio cha kitubio kwamba ngono hiyo ilikuwa ni “Roho wa Mungu anayekuingia"!

Ingawa hakuna uhakika wa fununu fununu hizo, ni mawazo yangu kwamba baadhi ya ma-Padri hao (walikuwa na hulka ya kubaka hao akina mama) sio ajabu pia waliwabaka watoto wadogo na vijana wa alta (alter boys)!

Kwani endapo baadhi yao walikuwa wabakaji huko kwao Ulaya Magharibi na Amerika, haiingii kichwani kuwa tabia hiyo dhalimu ya ubakaji ilibakia kwenye viwanja vya ndege au bandari za meli wakati wanaanza safari kuja huku kwetu…au ilibakia ndani ya ndege na meli walipofika kwenye viwanja vya ndege na bandari zetu!

Je, “mi-Afrika” inaogopa kujitokeza ijulikane kuwa nayo ilibakwa, pia?
 
delete hapa sasa unasubiri nini, kwanza nani kasema hii kero, kero kwako , wengine hatumo kabisa humo!
 
Back
Top Bottom