jimmyjoseph
New Member
- Oct 10, 2014
- 4
- 0
Ni sehem gani kwa Dar es Salaam hii michezo kaama skateboard, scooter, roller skate au biking inafanyika na kama kuna vikundi, organization na sehem wanako patikana na sehemu ambazo huwa wanafanyia michezo hio?