Mimi nilikuwa "Active" mwanzoni mpaka mwishoni mwa miaka ya 90. Zaidi ya kutembelea nchi mbalimbali duniani kama skauti pamoja na kufanya kazi za kijamii, pia uskauti ulinipa mtandao mpana wa marafiki ulimwenguni. Enzi kina Masta Magige, Ibrahim Maskuzi, Masha, n.k.
Kaka ...