Skauti wote tanzania

Skauti wote tanzania

krava

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
225
Reaction score
287
Naomba members wa Skauti waliomo humu tufahamiane au ulishawahi kupitia Skauti

Yogoooo yogi yogoo
Impizaaaaaa
Skaut alino

Skauti c mjinga na mjinga c skauti
 
Mimi nilikuwa "Active" mwanzoni mpaka mwishoni mwa miaka ya 90. Zaidi ya kutembelea nchi mbalimbali duniani kama skauti pamoja na kufanya kazi za kijamii, pia uskauti ulinipa mtandao mpana wa marafiki ulimwenguni. Enzi kina Masta Magige, Ibrahim Maskuzi, Masha, n.k.

Kaka ...
 
Back
Top Bottom