Skendo gani kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa selebriti wa Tanzania ilikushangaza na kukuchekesha

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.

Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua hadi tumbo feki la ujauzito la silicone wema akawa analivaa anatembea nalo kila anapoenda 😂😂

Umbea wa miaka ile ulikuwa hot kuliko wa miaka hii. Unaambiwa miaka ile bora usahau daftari ukienda shule kuliko kusahau simu nyumbani 😂

images (81).jpeg
images (80).jpeg
images (79).jpeg
images (78).jpeg
images (82).jpeg
images (83).jpeg
 
Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.

Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua hadi ile silikon ya tumbo la ujauzito wema akawa analivaa anatembea nalo kila anapoenda 😂😂

Umbea wa miaka ile ulikuwa hot kuliko wa miaka hii. Unaambiwa miaka ile bora usahau daftari ukienda shule kuliko kusahau simu nyumbani 😂

View attachment 3240305View attachment 3240310View attachment 3240312View attachment 3240313View attachment 3240315View attachment 3240317
Who gives a flying f***k ? watu wako busy kutafuta hela kuliko kutafuta umbea
 
Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.

Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua hadi tumbo feki la ujauzito la silicone wema akawa analivaa anatembea nalo kila anapoenda 😂😂

Umbea wa miaka ile ulikuwa hot kuliko wa miaka hii. Unaambiwa miaka ile bora usahau daftari ukienda shule kuliko kusahau simu nyumbani 😂

View attachment 3240305View attachment 3240310View attachment 3240312View attachment 3240313View attachment 3240315View attachment 3240317
Kwakweli una mda wa ziada 😂😂😂
 
wale wa kivukoni nauli ilipanda kama shilingi mia watu wakalalamika mzee wa moja na mbili jiwe a.k.a magu ama bulldozer akawaambia kama hawawezi kulipa basi wapige mbizi!!..🤣
sasa sijui hii mtaiweka kama skendo ama udaku ila huyo ndo celebrity wangu!
 
Kanumba kutembea na Lulu...yani ilinishangaza sana kwa sbb lulu alikua kama anco au mtoto kwny movie au scene nyingi za kanumba..so kanumba alimla Lulu at the age of 15 or 16 hivi...
Then huyo huyo ndo akawa sbb ya kifo chake...that was a scandal to remember...
Iliuza mnooo kwny magazeti ya shigongo...udaku...kiu...ijumaa na mengineyo...
 
Jua liliwaka mpaka karibu na utosi 2030 hio nilishangaa sana siku watu wote waliishi km wapo ndani ya oven, sijui ilikuaje mwaka ule
 
Back
Top Bottom