hhaway
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 326
- 422
Hii ndo ilikuwa kubwa kuliko yote
Nilisikia enzi hizo Mzee Jakaya alipigana ngumi kugombea demu kuanzia Mbowe hotel (Club Billicanas) mpaka baharini kule Posta ya zamani.