Who gives a flying f***k ? watu wako busy kutafuta hela kuliko kutafuta umbeaKwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.
Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua hadi ile silikon ya tumbo la ujauzito wema akawa analivaa anatembea nalo kila anapoenda 😂😂
Umbea wa miaka ile ulikuwa hot kuliko wa miaka hii. Unaambiwa miaka ile bora usahau daftari ukienda shule kuliko kusahau simu nyumbani 😂
View attachment 3240305View attachment 3240310View attachment 3240312View attachment 3240313View attachment 3240315View attachment 3240317
Kwakweli una mda wa ziada 😂😂😂Kwa upande wangu skendo iliyonishangaza na kunichekesha ilitokea mwaka 2016.
Wema sepetu na İdris Sultan walipofeki ujauzito ili kuwanyamazisha timu zari na timu diamond 😂 unaambiwa walinunua hadi tumbo feki la ujauzito la silicone wema akawa analivaa anatembea nalo kila anapoenda 😂😂
Umbea wa miaka ile ulikuwa hot kuliko wa miaka hii. Unaambiwa miaka ile bora usahau daftari ukienda shule kuliko kusahau simu nyumbani 😂
View attachment 3240305View attachment 3240310View attachment 3240312View attachment 3240313View attachment 3240315View attachment 3240317
😅😅😅 Hii kali mkuu, ila magu 🙌🙌🙌wale wa kivukoni nauli ilipanda kama shilingi mia watu wakalalamika mzee wa moja na mbili jiwe a.k.a magu ama bulldozer akawaambia kama hawawezi kulipa basi wapige mbizi!!..🤣
sasa sijui hii mtaiweka kama skendo ama udaku ila huyo ndo celebrity wangu!
😹Skendo ya marehemu mzee Lowassa kwamba kapiga pushup kajinyea 2015
Wewe mpumbavu sana.Skendo ya marehemu mzee Lowassa kwamba kapiga pushup kajinyea 2015