Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mshabiki wa Mpira? Je akija team yko ya aseno utamchukia,Mpira uko mguuniKama n kweli itakuwa kajharbia sana
Mkuu mimi cm naweka mbali sana muda wa hayo matukio mana ni siriKWANI SISI N WAPENZI WETU NYUMABANI HUWA HATUFANYIANI HIVYO?
Unamjua Gaucho wewe fundi wa mpira ambaye hajawahi kutokea. Kuna video yake ilivuja akipiga punyeto na wala haikuathiri kiwango chake uwanjani mpaka leo tunamuabudu.
Kwa kuuchezea mpira hamna zaid yake Wengine ni ufungaji.. ila show game Gaucho is the EndWewe na nani mnamuabudu? Gaucho tokea lini anaabudiwa! Alafu eti fundi wa mpira hajawahi kutokea 😀😀😀 wabongo bwana mpaka raha aise. Aya kiongozi jifurahishe tu sio mbaya! Kwaheri baba
Evra alipotea sababu ya niniNdo ttz af ukizingatia Bado mdogo
Sasa yy anaona sifa hawez kuona
Kina evra,balotel,adebayo walivopotea
Kwa sababu ya kuendeleza ujinga tu wa kujitakia
Juz tu hapa last year kwenyeEvra alipotea sababu ya nini
Kwa kuuchezea mpira hamna zaid yake Wengine ni ufungaji.. ila show game Gaucho is the End
Acha ujuaji wewe,hizo taarifa umezitoa wapi?.Ni mawazo yako tu. Wakati iniesta amempita mbali mauno. Kwa Messi usiguse ile level nyingine kabisa. Kwenye utatu utawakuta hawa! Kwaheri.
- Messi
- Diego
- Pele
Wakati Mauno hata top 10 hayumo. Sasa sijui unamsifia kwa kitu gani. Sikatai,, Ni mchezaji mzuri tu na ili aonekane bora zaidi ya hao watatu niliowataja..kwanza kabisa alinganishwe na hawa
Akipenya hapa ndipo alinganishwe na level ya pili ambao ni
- Iniesta
- Requelme
- De lima
- Dybala,
- Neimar
- Xavi
- ibrahimovich
- De maria.
Akipenya hapa ndipo alinganishwe sasa na babu zake, na ni ngumu haitawezekana kuwaruka wote.
- Johan Cruyff
- Alfredo
- Puskas
- Cr7
- Zidane
Kwani baloteli amepotea ....tatizo watz wengi hamfuatilii ligi zingine tofauti na hiyo ya uingereza....kwa taarifa yako baloteli yupo timu inaitwa nice IPO France anatupia kama kawaida yake... Na hiyo timu IPO top 5Kibur na jeur yake itampoteza
kwenye mpira kama balotel
Kwani walipata mafanikio liniWachezaji wa England siku izi ni tatizo sana ndio maana timu yao ya taifa haifanyi vizuri ni majeuri sana na ukiangalia hawafiki kilele cha mafanikio kisoka mchezaji mwingne ambae naona sio muda anaweza kupotea ni Harry kane
ndio maana hakutamba muda mrefuUnamjua Gaucho wewe fundi wa mpira ambaye hajawahi kutokea. Kuna video yake ilivuja akipiga punyeto na wala haikuathiri kiwango chake uwanjani mpaka leo tunamuabudu.
Duh una macho kinoma sanaKhatari, post no.5 picha naona pia ktk sakafu kuna kitu kimetupwa yaani huyu bibie kweli inabidi uwe unaweza ''marathon'' hatosheki.