Skendo: Video ya ngono ya kiungo wa Tottenham Hotspur na Uingereza, Dele Alli yavuja mtandaoni

Skendo: Video ya ngono ya kiungo wa Tottenham Hotspur na Uingereza, Dele Alli yavuja mtandaoni

ndio maana hakutamba muda mrefu

Umeona mkuu....mtu anaendekeza umalaya na bado anapiga punyeto,,, hayo yote Mungu kaharamisha anategemea angeendelea? Ndiomaana Messi miaka 10 mfululizo anapasua tu/yupo pale pale, na haikuwahi kutokea kwa mchezaji yeyote.
 
Kwani tatizo liko wapi ye kunyonywa uume. Mnafanya kama vile anayoyafanya mwenzenu nyie hamfanyi. Ajali kazini hiyo. Akizingua uwanjani sawa ila mtu kwenye starehe zake jamani.
 
Ila ni yeye mkuu? Mjue watu wana fanana wajameni.
Mi nawasiwasi
 
Kwani tatizo liko wapi ye kunyonywa uume. Mnafanya kama vile anayoyafanya mwenzenu nyie hamfanyi. Ajali kazini hiyo. Akizingua uwanjani sawa ila mtu kwenye starehe zake jamani.
Nakupendea hapo tu..[emoji9]
 
Kwani tatizo liko wapi ye kunyonywa uume. Mnafanya kama vile anayoyafanya mwenzenu nyie hamfanyi. Ajali kazini hiyo. Akizingua uwanjani sawa ila mtu kwenye starehe zake jamani.
upo?comment zako !!!
Jamaa linafaidi mtoto mzuri

Ni mawazo yako tu. Wakati iniesta amempita mbali mauno. Kwa Messi usiguse ile level nyingine kabisa. Kwenye utatu utawakuta hawa! Kwaheri.
  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele

Wakati Mauno hata top 10 hayumo. Sasa sijui unamsifia kwa kitu gani. Sikatai,, Ni mchezaji mzuri tu na ili aonekane bora zaidi ya hao watatu niliowataja..kwanza kabisa alinganishwe na hawa

  1. Iniesta
  2. Requelme
  3. De lima
  4. Dybala,
  5. Neimar
  6. Xavi
  7. ibrahimovich
  8. De maria.
Akipenya hapa ndipo alinganishwe na level ya pili ambao ni
  1. Johan Cruyff
  2. Alfredo
  3. Puskas
  4. Cr7
  5. Zidane
Akipenya hapa ndipo alinganishwe sasa na babu zake, na ni ngumu haitawezekana kuwaruka wote.
 
da177c67c9e649310be21d104ac12a54.jpg
387446986ef17f831d30754925e7aed6.jpg
Safi
 
Hii ni skendo kwa kuwa imeonekana live, lakini mbona majumbani tunayafanya sana tu.
Ndo hapo sasa....watu wanaweza wakaongea wee utafikiri ni kitu kipya...Kama ni mtu wake haina tatizo..maisha yake hayo....Kwan nan alisema wacheza mpira hawafanyi hizo mambo...Huyo alievujisha ndo anamatatizo....
Binafsi ningehamaki kama mfano angelikua anamke halafu akafanya hayo mambo nje ya ndoa..hapo ndo balaa...
Lkn dogo mwenyewe hata kuoa bado....apambane na hali yake tu cha msingi mpira apige
 
Back
Top Bottom