Skendo ya irene uwoya inataka kuniaribia ndoa!!!!!

Skendo ya irene uwoya inataka kuniaribia ndoa!!!!!

kazi rahisi hiyo mbwage mojakwa moja ndo msimamo lakini ukimbebeleza utakuwa huna tofauti na uwoya

Duh! mzee kuongea hivyo rahisi sana....... kutenda siyo rahisi mkuu ukizingatia tayari tuna watoto wawili.
 
Jifunze kuto ku compare ndoa yako na story za magazeti hata success au failure za ndoa nyingine. Hata mimi ningekasirika. Chagua mazungumzo uwapo na wife.

Story nyingine ziishie kwa washkaji.

Ni sawa na mkeo angekwambia "mimi mwanaume anijie saa nane za usiku nikae nasubiri nini? nadai talaka tu" Hata kama wewe ni wa kuja saa kumi na mbili jioni lazima unge mind.
 
Wanawake wengine akili zao zinaku zipo deactivated, jaribu kuzi activate kwa makofi. Hawezi kununa kijinga halafu na wewe unamchekea. Tandika makofi.
 
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya siku chache tukasikia tena wamerudiana.

Nilikuwa napiga story na wife kuhusu maneno ya awali ya huyo msanii. na ndipo mi nikamwambia ningekuwa ni mimi huyo asingerudi na wala hata nisingetaka kumuona. Ndoa ndio ingekuwa basi. Ningemchukia zaidi kwa kunidhalilisha kuliko hata wale ambao nilikuwa nawachukia etc etc etc. Ndipo wife akaniambia ina mana ningekuwa mimi (yeye) ningemfanyia hivyo!, mi nikamjibu kwa jibu rahisi tu kwamba ndio manake. Tangu hapo naona amenisusia, najitahidi kumbeleza lakini ndio ameona kama vile simpendi. Imeshakuwa ni kususiana tu.

Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.

Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.

Ni kusema kwamba hamtusomi tunaposema mambo ya kuangalia vitu vya kusema kwa mwenza wako mnadhani utani?
 
Huyo na akili zake za kubip, subutuu! Kama hajaonekana baba mzima na kitambi kwenye foleni ya kuchota maji asubuhi!

mkuu mbona alichoongea ni kitu normal sana. Hapo tatizo liko wapi.

Tatizo la kuoa wanawake waliopata zero form four.
 
Huyo na akili zake za kubip, subutuu! Kama hajaonekana baba mzima na kitambi kwenye foleni ya kuchota maji asubuhi!

aaah wewe, namshushia makofi ashindwe hata kunyanyua mdomo kuingiza tongo mdomoni.

Wanawake tukiwapenda sana, mnatuona mazuzu. Shenzi taipu.
 
huyo full mzigo! na je ungemwambia ukila sumu utakufa angeku-mind kiivo? huyo si yule alifanya shooting na prof j, wenye corus hadhi yangu niikupa mpenzi anasa za jiji zikakutawa!
 
Ukiona hivyo mke wako alikuwa na plan ya kufanya kama Irene, sasa ume pre-empty her plans> Usimbembeleze, wewe mwache, mwambie huo ndio msimamo kwako na kama kuna siku atafanya hivyo ajue ndio basi
 
bro, hujui uongo unafanya kazi zaid kwa wanawake?
u screwed-up man!~
 
Duh! mzee kuongea hivyo rahisi sana....... kutenda siyo rahisi mkuu ukizingatia tayari tuna watoto wawili.

Kama sio isidingo, basi huyo mkeo nadhani atakuwa mja mzito, mpime mimba mzee, kwani hatemi temi mate?
 
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya siku chache tukasikia tena wamerudiana.

Nilikuwa napiga story na wife kuhusu maneno ya awali ya huyo msanii. na ndipo mi nikamwambia ningekuwa ni mimi huyo asingerudi na wala hata nisingetaka kumuona. Ndoa ndio ingekuwa basi. Ningemchukia zaidi kwa kunidhalilisha kuliko hata wale ambao nilikuwa nawachukia etc etc etc. Ndipo wife akaniambia ina mana ningekuwa mimi (yeye) ningemfanyia hivyo!, mi nikamjibu kwa jibu rahisi tu kwamba ndio manake. Tangu hapo naona amenisusia, najitahidi kumbeleza lakini ndio ameona kama vile simpendi. Imeshakuwa ni kususiana tu.

Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.

Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.

Umeoa au umeolewa?
Chunguza nyenendo za mkeo, kisha kuchoka hivyo.
Kama unabisha mwambie akiendelea kuuchuna unamwacha, uone atakavyo furahi kuachana nawe.
 
Poleni akina mama wenye waume, kwa kweli mwanaume anayediskasi hawa wadada???? Let her be, its her damn life.
Kukususa kakusamehe, ningerudisha mahari yako kwenu afu nikakulipia mie mahari.

Khaa! Una gubu na wewe! Whats wrong with somebody being honest?28-58 Over
 
tatizo wanawake huwa wanajisthukia kwa hiyo hapo anataka umbembeleze sana ili aone kama ulikuwa unamaanisha au unatania wakati moyoni anakuenjoy, acha kubembeleza sana
 
Sijui na wewe ulikosa story za kuongea na mkeo ! , wanawake hawapendi kufananishwa na wanawake wengine tena kwa mambo mabaya ndo kabisa
 
Mkuu no doubt kwamba mkeo anakupenda sana na hafikirii kuachana na wewe. Mwombe msamaha kiukweli ulikosea. Unapoongea na my wife kuwa makini sana katika kuchangia. Mfano ungeweza kumjibu 'wewe mke wangu ulivyo na hekima huwezi kufanya hivyo'.
 
Back
Top Bottom