Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kazi rahisi hiyo mbwage mojakwa moja ndo msimamo lakini ukimbebeleza utakuwa huna tofauti na uwoya
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya siku chache tukasikia tena wamerudiana.
Nilikuwa napiga story na wife kuhusu maneno ya awali ya huyo msanii. na ndipo mi nikamwambia ningekuwa ni mimi huyo asingerudi na wala hata nisingetaka kumuona. Ndoa ndio ingekuwa basi. Ningemchukia zaidi kwa kunidhalilisha kuliko hata wale ambao nilikuwa nawachukia etc etc etc. Ndipo wife akaniambia ina mana ningekuwa mimi (yeye) ningemfanyia hivyo!, mi nikamjibu kwa jibu rahisi tu kwamba ndio manake. Tangu hapo naona amenisusia, najitahidi kumbeleza lakini ndio ameona kama vile simpendi. Imeshakuwa ni kususiana tu.
Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.
Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.
Wanawake wengine akili zao zinaku zipo deactivated, jaribu kuzi activate kwa makofi. Hawezi kununa kijinga halafu na wewe unamchekea. Tandika makofi.
Ni kusema kwamba hamtusomi tunaposema mambo ya kuangalia vitu vya kusema kwa mwenza wako mnadhani utani?
Huyo na akili zake za kubip, subutuu! Kama hajaonekana baba mzima na kitambi kwenye foleni ya kuchota maji asubuhi!
Duh! mzee kuongea hivyo rahisi sana....... kutenda siyo rahisi mkuu ukizingatia tayari tuna watoto wawili.
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya siku chache tukasikia tena wamerudiana.
Nilikuwa napiga story na wife kuhusu maneno ya awali ya huyo msanii. na ndipo mi nikamwambia ningekuwa ni mimi huyo asingerudi na wala hata nisingetaka kumuona. Ndoa ndio ingekuwa basi. Ningemchukia zaidi kwa kunidhalilisha kuliko hata wale ambao nilikuwa nawachukia etc etc etc. Ndipo wife akaniambia ina mana ningekuwa mimi (yeye) ningemfanyia hivyo!, mi nikamjibu kwa jibu rahisi tu kwamba ndio manake. Tangu hapo naona amenisusia, najitahidi kumbeleza lakini ndio ameona kama vile simpendi. Imeshakuwa ni kususiana tu.
Katika hali kama hii kosa langu lipo wapi. Mimi ndio ungekuwa msimamo wangu huo, nisingeweza kumwambia uongo na hata hivyo ilikuwa tunapiga story tu.
Au ningemdanganya tu kumridhisha!!. Lipi sahihi!!.
Poleni akina mama wenye waume, kwa kweli mwanaume anayediskasi hawa wadada???? Let her be, its her damn life.
Kukususa kakusamehe, ningerudisha mahari yako kwenu afu nikakulipia mie mahari.
bro, hujui uongo unafanya kazi zaid kwa wanawake?
u screwed-up man!~
mkuu mbona alichoongea ni kitu normal sana. Hapo tatizo liko wapi.
Tatizo la kuoa wanawake waliopata zero form four.